Kazi yako · Haki zako · Pesa yako

Ji‑Register Sasa

Usajili unafunguliwa 21 Septemba. Jiunge na orodha leo. Kuwa kwenye kundi la kwanza la wasanii wanaoweka kazi yao, mgawanyo wao na pesa yao kwenye rekodi moja, kupitia simu yako, kwa WhatsApp.

1,000Wa kwanza 1,000 ni Wasanii Waanzilishi: nafasi ya kwanza, na kazi yako ya kwanza kusajiliwa bure.
  • Dakika moja
  • Ni bure
  • Ni siri yako
  • Kwa wasanii wote
Nairobi · Kisumu · Mombasa · Nakuru · Eldoret
A guitarist playingHands on a synthesiser in a studioA drummer performing

Mwalike uliyefanya naye kazi. Akijiunga, nyote wawili mnapanda nafasi 25.

Studio Mtaani · Jiunge na orodha

Tuambie tutakupata wapi

Vitu vinne vinahitajika, na vinachukua kama dakika moja. Kama kazi yako iko karibu, itaje pia. Ndiyo inayoingia kwenye rekodi yako kwanza usajili ukifunguliwa tarehe 21 Septemba.

Nafasi yako kwenye kazi si lazima, chagua zote zinazokuhusu

Kama dakika moja. Nambari yako inatumika kwa mwaliko wako pekee.